Hot
-50%

Mkakati wa Kunasa Wateja na Kuuza Sana: Na jinsi ya Kumfanya Mteja Mmoja Anunue Mara Nyingi

Original price was: Sh 10,000.Current price is: Sh 5,000.

Je bado unahangaika kunasa wateja na unashindwa kuuza sana? Je Unapata shida kufanya mauzo kupita mitandao? Je wateja wa mitandaoni wanashindwa kukuamini kila wakitaka kununua kwako?

Kama umejibu ndio katika swali lolote hapo basi kitabu hiki ni kwa ajili yako

Katika kitabu hiki, utajifunza mambo muhimu kama:
• Jinsi ya kujenga uaminifu na wateja wako, hata wale wa mtandaoni.
• Jinsi ya kuifanya biashara yako ionekane ya kitaalamu na yenye umakini.
• Jinsi ya kuandaa tangazo lenye mvuto na lenye kuvutia wateja.
• Mikakati ya kuwa mtaalamu wa kutengeneza matangazo ya kulipia kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, na Twitter.
• Jinsi ya kuwavutia wateja wako ili wakupe kipaumbele katika ununuzi wa bidhaa.
• Jinsi ya kunasa attention ya wateja ili wakusikilize au wasome tangazo lako.</div>
• Mkakati wa kuwa kutumia mifumo mbalimbali ya kutangaza biashara yako
• Mkakati wa kufanya wateja wakubembeleze kununua bidhaa au huduma yako
• Jinsi ya kufanya mauzo ya ghafla (instant Sales)
• Mkakati wa matangazo kama ukiwa na kampuni kubwa
• Misingi ya kuwa na Brandi imara ya kampuni yako.
• Mkakati wa kufanya mteja anunue tena na tena kutoka kwako
• Mkakati wa kumshikilia mteja na kudumu naye muda mrefu
• Na mengine mengi.
✅(mwandishi wa kitabu hiki ni mmiliki wa kampuni tatu; Agrasa, Kingbest, na Nzunda Technologies Limited)

SKU: 654111995-1-1-2