Hot
-50%

Mkakati wa kufuta tatizo la sina hela: Na jinsi ya Kutumia Mitaji ya Wengine

Original price was: Sh 10,000.Current price is: Sh 5,000.

(kitabu hiki Kimeandikwa na mwenye kampuni tatu, aliyejiajiri na kufungua kampuni ya kwanza tangu akiwa chuo kikuu)

NDANI YA KITABU UNAPATA KUJIFUNZA YAFUATAYO;??

1. Kiini cha kukosa hela: Msingi wa kukosa hela
2. Matawi manne ya msingi wa kupata hela
3. Mkakati wa kutengeneza jicho la kuona fursa
4. Mkakati wa Kupata wazo la kukupatia hela
5. Ngazi tatu za Mkakati kutatua tatizo la sina mtaji
6. Jinsi ya kutumia ulichonacho kupata unachotaka
7. Jinsi ya kutumia mitaji ya wengine kwa ajili ya biashara yako bila kukopa
8. Jinsi ya kujipima kama wewe una akili za kimasikini au kitajiri
9. Usajili wa Kampuni au jina la biashara
10. Mkakati wa kutengeneza mfumo endelevu wa biashara yako

✅UNATUMIWA SOFTCOPY KWENYE EMAIL YAKO UKISHANUNUA.

SKU: 854613298