-50%

3 in 1 books by Ibrahim I Nzunda

Original price was: Sh 30,000.Current price is: Sh 15,000.

KITABU: MKAKATI WA KUNASA WATEJA NA KUUZA SANA;
✅Katika kitabu hiki, utajifunza mambo muhimu kama:
• Jinsi ya kujenga uaminifu na wateja wako, hata wale wa mtandaoni.
• Jinsi ya kuifanya biashara yako ionekane ya kitaalamu na yenye umakini.
• Jinsi ya kuandaa tangazo lenye mvuto na lenye kuvutia wateja.
• Mikakati ya kuwa mtaalamu wa kutengeneza matangazo ya kulipia kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, na Twitter.
• Jinsi ya kuwavutia wateja wako ili wakupe kipaumbele katika ununuzi wa bidhaa.
• Jinsi ya kunasa attention ya wateja ili wakusikilize au wasome tangazo lako.
n,k
KITABU:MKAKATI KUTATUA TATIZO LA ‘SINA HELA’
✅Ndani ya kitabu hiki unapata kujifunza yafuatayo;
1) Kiini cha kukosa hela: Msingi wa kukosa hela
2) Matawi manne ya msingi wa kupata hela
3) Mkakati wa kutengeneza jicho la kuona fursa
4) Mkakati wa Kupata wazo la kukupatia hela
5) Ngazi tatu za Mkakati kutatua tatizo la sina mtaji
n.k
KITABU:SAIKOLOJIA YA TANGAZO;
✅Kila point ndani ya kitabu hiki imefanyiwa utafiti wa kutosha duniani na matokeo yake hayapingiki.
✅Kwa kila kipengele Tumetumia maneno na mfano wa tangazo husika jinsi linavyokaa. Kuna picha za mifano (illustrations) zaidi ya 50 ndani ya kitabu hiki.
✅Kanuni zilizopo humu ndio zinatumiwa na makampuni yote maarufu, ni kanuni za viwango vya kimataifa na kitaalamu.